Category: Makala
Je, wote tuwe wajasiriamali?
Kwenye anga za uchumi na biashara kumekuwa na changamoto inayojirudia kutoka kwa baadhi ya wasomaji kuhusu dhana ya ujasiriamali.
Licha ya wasomaji kuzikubali makala hizi lakini wamekuwa na walakini ikiwa inawezekana Watanzania wote tukawa wajasiriamali. Hata mimi ninafahamu kuwa si watu wote wana ‘karama’ za kuwa wajasiriamali wa kibiashara.
Nukuu mbalimbali za Nyerere
Nyerere: Wazee wa Dar waliniamini wakaniombea dua
“Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.
Pinda: Mwanasheria anayepinda sheria
Kuna mambo mengine mtu unaweza kupata sifa hata kama huna ujuzi nayo. Wakati wa mvutano wa Chama cha Wamiliki wa Malori na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, nilisema Waziri huyo hatafika mbali kwa uamuzi wake wa kusimamia sheria.
Watanzania tuzienzi kauli hizi za Nyerere
Miaka 14 imepita tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki dunia. Ameiacha dunia ikiwa katika mapambano, misuguano na vita kali ya maneno na silaha kati ya wanyonge na wenye nguvu kuhusu uonevu, dhuluma, haki na ukweli.
MUSSA ZUNGU AZZAN: Injinia wa ndege aliyejikita katika siasa
*Barabara duni Ilala zamnyima usingizi Amejikita zaidi katika masuala ya siasa, lakini taaluma yake ni ujuzi na maarifa ya kuunda, kutunza, kutengeneza na kuongoza mitambo ya ndege. Unaweza kumwita injinia wa ndege. Huyu si mwingine bali ni Mussa…
Yah: Tunahitaji utashi, si lazima kuishi kama kenge
Kuna wakati huwa najiuliza maswali mengi ambayo kimsingi naona yanajibiwa na idadi kubwa ya shule za misingi, sekondari na vyuo vikuu vilivyopo. Najiuliza tuna wasomi wangapi?