Category: Makala
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
TUFUMUE FIKRA ZA KIMASIKINI KWA WATANZANIA!
Wiki iliyopita Waziri mwenye dhamana katika wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana aliwasilisha bajeti ya wizara yake.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa
“Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimwangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki… lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema… aaaah kweli huyu?”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Waandishi vijana wanaua uhuru wa habari
Tunapozungumzia uhuru wa habari tunakuwa na maana mbili. Kwanza, uhuru wa vyombo vya habari kutoa habari zilivyo bila kutishwa au kusumbuliwa. Pili, uhuru wa wananchi kupewa habari zilivyo bila vikwazo au kufichwa.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Kujitolea muhimu kwenye chama
“Lakini chama chochote, hata chama cha michezo tu, lazima kiendeshwe na mashabiki kwa njia za kujitolea. Moyo wa kujitolea ukifa, chama hakiwi chama tena; kinakuwa ni chaka tu la mawindo ya kujitafutia mali.”
Maneno haya ni maneno ya Baba wa Taifa letu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
KAULI ZA WASOMAJI
Polisi iwakamate waliomuua Barlow
Ili Jeshi la Polisi liweze kujijengea hesima katika jamii, lioneshe makali yake katika kushughulikia mtandao wa mauaji ya RPC Liberatus Barlow, kufuatia maelezo yaliyotolewa na Malele.
Boniface Nyerere, Dar
- Wazazi waonywa; vituo vya kulea watoto siyo shule, wazingatie kanuni za 2012
- Siku 100 za Rais Samia,Waziri wa Vijana ataja mafanikio yaliyofanywa na Rais Samia
- Dkt. Homera azitaka bodi za udhamini kujiepusha na ubadhirifu wa mali za umma
- RAS Arusha asisitiza utendajikazi unaozingatia maadili ya utumisi wa umma
- Dk Gwajima asisitiza ushirikiano wa jamii kutokemeza ukeketaji na kuimarisha malezi ya mtoto
Habari mpya
- Wazazi waonywa; vituo vya kulea watoto siyo shule, wazingatie kanuni za 2012
- Siku 100 za Rais Samia,Waziri wa Vijana ataja mafanikio yaliyofanywa na Rais Samia
- Dkt. Homera azitaka bodi za udhamini kujiepusha na ubadhirifu wa mali za umma
- RAS Arusha asisitiza utendajikazi unaozingatia maadili ya utumisi wa umma
- Dk Gwajima asisitiza ushirikiano wa jamii kutokemeza ukeketaji na kuimarisha malezi ya mtoto
- Dk Mwigulu azindua uwanja wa ndege Mtemere
- Afariki akiwakimbia maafisa wa kupambana na dawa za kulevya Tanga
- Kwagilwa akagua ICU ya kisasa Handeni Mji, kuimarisha huduma za afya
- Naibu Waziri Londo atembelea Tume ya Ushindani, asisitiza uzalendo
- ‘Vijana wanaongoza kwenye changamoto ya kisaikolojia na akili’
- Mtoto mchanga wa siku moja aibiwa Mwanza
- Dk Mwigulu amwakilisha Rais Dk Samia mkutano wa 43 wa AUDA – NEPAD
- MSD yabadilishana uzoefu na wataalamu kutoka Madagascar
- Serikali yawekeza bilioni 59/- Ruaha
- Ulega: Lipeni watu wanachostahili