Category: Makala
Mnyeti kama Sabaya
*Alalamikiwa Tume ya Haki za Binadamu *Adaiwa kujiundia tume kinyume cha sheria *Mwenyewe ajitetea kwa kumwaga matusi DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, analalamikiwa na mfanyabiashara, Dk. Hamis Kibola, katika Tume ya…
Amchinja mkewe baada ya kukataliwa
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mgongano wa kimasilahi na kufilisika kwa mume ni miongoni mwa sababu zinazodaiwa kusababisha kifo cha mkazi wa Vigoa, Chamazi, Mwajabu Bakari. Mwajabu amefariki dunia kwa kuchinjwa na aliyekuwa mume wake, Naibu Ramadhani. Akizungumza na…
‘ROMARIO’ Mwanamuziki mwenye vituko jukwaani
TABORA Na Moshy Kiyungi Unapoingia ukumbini kusakata muziki wa bendi ya Msondo Ngoma Classic, hakika utalazimika kushikilia mbavu zako utakaposhuhudia vituko, mbwembwe na vimbwanga vya mpuliza tarumbeta, Roman Mng’ande ‘Romario’. Takriban kila onyesho la bendi hiyo yeye hufanya utundu wa…
Usakatonge ulivyopora suala la Katiba mpya
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Ukweli unaojitetea ni kwamba kila Mtanzania mwenye ufahamu wa masuala ya kisiasa na uongozi anahitaji marekebisho ya Katiba yetu. Awe serikalini, awe upinzani au asiye na ufuasi wa chama. Awe Mkristo, Muislamu au asiyeamini…
Sakata la tozo miamala ya simu
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Pamoja na mawaziri Dk. Mwigulu Nchemba (Fedha na Mipango) na Dk. Faustine Ndugulile (TEHAMA) kusema kuwa Rais amesikia kilio cha Watanzania, mimi ninasema; “too good too late”! Kwa heshima kubwa ninawaambia wao kuwa; “hilo…
BAADA YA JANGA LA MOTO… Maisha mapya yaanza mbali na Kariakoo
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Mamia kama si maelfu ya wafanyabiashara waliokuwa wakiendesha shughuli zao ndani na hata pembeni mwa Soko la Kimataifa la Kariakoo wameanza maisha katika masoko mengine jijini Dar es Salaam. Wafanyabiashara hao wamelazimika kuondoka Kariakoo…