Category: Makala
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…
Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia
Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…
SHUKRANI NI MTAZAMO Shukrani ina nguzo saba
Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Kuna ambao wanatazama walivyonavyo wanashukuru. Kuna ambao wanatazama wasivyo navyo wanalalamika. Shukrani ni mtazamo. “Shukuru kwa ulivyonavyo; utaishia kuwa na zaidi. Ukifikiria ambavyo hauna, havitatosha kamwe,” alisema Oprah Winfrey. Wanawake ambao hujishughulisha na kufua nguo…
Karibu RC, Bukoba ina mambo tisa
BUKOBA Na Phinias Bashaya Sina uhakika na kisa hiki kama ni kweli au ni hadithi za ‘sungura akasema’, ingawa kinatajwa katika mji wa Bukoba na pengine ndivyo ilivyokuwa. Kwamba, mkazi mmoja wa mji huu alifunga safari akiwa na zawadi kumkaribisha mkuu…
Samia: Alama sahihi uimara wa Muungano
DAR ES SALAAM Historia ya nchi yetu inawataja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume kuwa waasisi wa Muungano wa nchi mbili zenye mashabihiano ya kihistoria. Nchi hizo ni Tanganyika iliyotawaliwa na Ujerumani (1885-1918) baadaye Uingereza (1919-1961) ilipopata…
Mwenye nyumba yumo hatiani mpangaji anapojihusisha na biashara, dawa haramu
Na Bashir Yakub Wenye nyumba mnatakiwa kujihadhari sana. Hakikisha unapompangisha mtu unajua historia yake. Wakati mwingine ni vigumu lakini ndiyo iko hivyo. Unalazimika kufanya hivyo kutokana na madhara ambayo unaweza kupata kutokana na makosa ya mpangaji. Kifungu cha 20, Sheria ya…




