Category: Makala
Jifunze kushukuru katika maisha (2)
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii wiki iliyopita tuliona umuhimu wa mtu kutimiza wajibu wake kwa kutoa shukrani. Tuliona msemo wa mwandishi Fred De Witt Van Amburgh anayetukumbusha: “Shukrani ni fedha ambayo tunaweza kujitengenezea sisi wenyewe na kuitumia bila…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (16)
Watu wa kusitasita nawachukia ‘Ningejua,’ na ‘kusitasita’ vikipandwa hakuna kinachoota. Kusitasita ni kutamani jana iendelee. Kusitasita ni mazishi ya fursa. Kusitasita ni mauaji ya neema. Kusitasita ni nukta katikati ya sentensi. “Anza kushona na Mungu atakupa uzi.” (Methali ya Ujerumani)….
Kwa nini Ibwera inafaa kuwa halmashauri
Zimejitokeza hoja mbalimbali za kwa nini wananchi wa Bukoba Vijijini wanapendelea makao makuu ya halmashauri yao yawe katika eneo la Ibwera, katika Kata ya Ibwera iliyoko kwenye Tarafa ya Katerero. Kwa vile kuna hoja zinazokinzana, ngoja tukazitazame hoja hizo kusudi…
Ushauri kwanza, uamuzi baadaye
Ushauri na uamuzi ni maneno yanayokwenda sanjari katika matumizi ya mawasiliano na matendo ya mwanadamu. Ushauri unapokuwa mzuri unatengeneza uamuzi mzuri, na unapokuwa mbaya unatengeneza uamuzi mbaya, kwa mtu binafsi au kwa kundi la watu. Kwa vile mwanadamu anaongozwa na…
Yah: Kula kitu roho inapenda
Huu msemo ulianza kama utani kwamba kama una nafasi ya ziada katika kipato, basi unapohitaji kufurahisha moyo wako, kula kitu kizuri ambacho unakipenda na haushurutishwi na mtu na hauna shida ya kukipata. Hii ndiyo maana halisi ya ‘kula kitu roho…
Mafanikio katika akili yangu (19)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Walipokuwa wakiongea Noel akagundua ni Penteratha yule aliyekuwa amekutana naye. “Ina maana Penteratha ni mwandishi maarufu kiasi hiki!’’ alishangaa sana Noel. Sasa endelea … Penteratha akiwa amekaa mezani akijaribu kutengeneza kichwa cha kitabu,…