Category: Makala
Msitu wa kitalii katikati ya jiji wawainua wananchi kiuchumi
Jiji la Arusha lililopo kaskazini mwa Tanzania limepata umaarufu mkubwa kutokana na kuwepo kwa vivutio vingi vya utalii na kuufanya mji huo kuitwa mji wa kitalii. Vivutio hivyo ni pamoja na uwepo wa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Hifadhi ya…
Acha kubeba mzigo wa wivu (2)
Ishi na watu vizuri. Ishi na majirani zako vizuri. Kumbuka: Unaishi na watu. Kuzaliwa kwako kumefanywa na watu. Jina lako unalotumia umepewa na watu. Umepata elimu kutoka kwa watu. Kipato chako unachopata kinatoka kwa watu. Heshima uliyonayo inatoka kwa watu….
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (14)
Kama siyo sisi ni nani? Sisi ni daraja kati ya kizazi kilichopita na kizazi kijacho. Tunakiachia nini kizazi kijacho? Tunaacha alama gani? Namna gani tunakabidhi kijiti? Tutakumbukwa kwa mambo gani? Methali ya Kiyahudi inasema yote: “Kama siyo sasa ni lini?…
Sheria inasema nini kuhusu mke kumtunza mume wake?
Ndoa inapokuwa imefungwa kisheria, kuna haki za msingi ambazo huandamana na mkataba huo. Moja ya haki maarufu ni ile ya mume kumtunza mkewe. Tutaangalia kinyume cha haki hii kuona kama mke naye ana wajibu wa kumtunza mumewe. Lakini kabla ya…
Rais Magufuli stahamili na upowe
“Wamo kwenye ulimwengu, waovu na wazandiki, Nikisafu moyo wangu, sina kinyongo na chuki, Masifu si sifa yangu, na kugombana sitaki. Stahamili na upowe, zidisha uvumilivu, Stahamili uridhiwe, Mungu ndiye mwenye nguvu.” Maneno haya ni sehemu ya wimbo STAHAMILI ukiwa ni…
Yah: Baba nikiwa mkubwa nataka niwe mwalimu, tulisema!
Katika miaka ya hamsini huko ambako wasomaji wengi wa waraka huu walikuwa ama wanazaliwa au watu wazima wa kupiga kura watakumbuka nafasi ya mwalimu katika jamii yetu. Mwalimu alikuwa ni nani na kwanini mtu alikuwa mwalimu, na mwalimu alifananaje? Naamini…