Meneja wa Chelsea Antonio Conte anatarajiwa kuondoka Chelsea kwa saa 48 zijazo na nafasi yake huwenda ikachukuliwa naĀ  Meneja wa zamani wa Barcelona Luis Enrique.