Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa Kijiji cha Simhha, Kata ya Haydarer waliojitokeza kumpokea Wilayani Mburu mkoa wa Manyara.
Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu).
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Daniel Chongolo akilisha Ng’ombe chakula nyumbani kwa Mwenyekiti wa shina namba 4, Kijiji cha Simhha, Kata ya Haydarer waliojitokeza kumpokea Wilayani Mburu mkoa wa Manyara.

By Jamhuri