JamhuriComments Off on Dk Samia akiomba kura kwa wananchi Rungwe
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Rungwe mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Rungwe katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya tarehe 05 Septemba, 2025.Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa wagombea wa nafasi za ubunge katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho uliofanyika Rungwe, mkoani Mbeya, tarehe 05 Septemba, 2025.