Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Laela mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.
Shamrashamra za Wananchi wa Laela wakati wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.