Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 26, 2024
MCHANGANYIKO
DUWASA yajenga tenki la maji la lita 200,000 Nala Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on DUWASA yajenga tenki la maji la lita 200,000 Nala Dodoma
Fundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Bahaji, Wilson Meso akipiga plasta wakati wa ujenzi wa tenki lita 200000 la kukusanyia maji katika eneo la Nala jijini Dodoma leo Septemba 26, 2024. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) unatekeleza Mradi wa uboreshaji wa upatikanaji wa maji katika eneo la Nala ambao utagharimu Tsh bilioni 1.3 umeanza Julai 1, 2024 na utakamilika ndani ya miezi sita na utahusisha ujenzi wa tenki, ulazaji wa mabomba kwa kilomita 7.8 na kusimika pampu mbili na uwekwaji wa mfumo wa kutibu maji. Mradi utanufaisha wakazi zaidi ya 14,731 wa eneo hilo. (Picha na Mpigapicha Wetu)
MAFUNDI wa Kampuni ya Ujenzi ya Bahaj wakiendelea na zoezi la umwagaji zege wakati wa ujenzi wa tenki lita 200000 la kukusanyia maji katika eneo la Nala jijini Dodoma leo Septemba 26, 2024. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) unatekeleza mradi wa uboreshaji wa upatikanaji wa maji katika eneo la Nala ambao utagharimu Tsh bilioni 1.3 umeanza Julai 1, 2024 na utakamilika ndani ya miezi sita na utahusisha ujenzi wa tenki, ulazaji wa mabomba kwa kilomita 7.8 na kusimika pampu mbili na uwekwaji wa mfumo wa kutibu maji. Mradi utanufaisha wakazi zaidi ya 14,731 wa eneo hilo. (Picha na Mpigapicha Wetu)
Please follow and like us:
Post Views:
133
Previous Post
Rais Samia aipongeza AfDB, utekelezaji miundombinu ya barabara nchini
Next Post
Hakimu, wakili wa Serikali wakerwa wakili Chuwa kuchelesha kesi
Waziri Ndumbaro ahamasisha wananchi kujiandikisha daftari la wapiga kura Songea
Rais Samia akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge Mwanza
Polisi wa fafanuzi Taarifa inayosambaa kuhusiana risiti za vifo
Halmashauri Misenyi Kagera yatoa mil.1/- ya matibabu ya mtoto mwenye uvimbe
Rais Samia ashiriki ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Nyerere
Habari mpya
Waziri Ndumbaro ahamasisha wananchi kujiandikisha daftari la wapiga kura Songea
Rais Samia akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge Mwanza
Polisi wa fafanuzi Taarifa inayosambaa kuhusiana risiti za vifo
Halmashauri Misenyi Kagera yatoa mil.1/- ya matibabu ya mtoto mwenye uvimbe
Rais Samia ashiriki ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Nyerere
JKCI yaanza kutibu wagonjwa wa moyo Arusha
Korea kaskazini iko tayari kuishambulia Korea Kusini
Urusi yadaiwa kuwauwa wafungwa wa kivita wa Ukraine
Uganda yavutiwa maendeleo ya mradi wa EACOP hapa Tanzania
Rais Samia akizungumza na viongozi pamoja na wananchi wa Sengerema
Misamaha, unafuu wa kodi chanzo mapato ya ndani kupotea
Rais Samia: Kiongozi anayeweka Tanzania kwenye ramani ya maendeleo ya sekta ya madini
TCRA, TAMWA wazindua tuzo za waandishi wa habari za maendeleo ‘Samia kalamu awards’
Rais akizungumza wakati akifunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji Geita
Rais Dk Samia aoneshwa mfano wa uchimbaji madini ya dhahabu