Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa leo Oktoba 19 ameanza ziara katika Jimbo la Chaani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Ziara hiyo ni mpango wa kutembelea majimbo 50 kupitia mkakati maalumu wa kuweka mazingira bora kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.