Kikosi cha timu ya taifa ya ya Vijana chini ya umri wa miaka 23 kitaingia kambini kesho kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kufuzu AFCON U23.

Katika hatua nyingine, Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Uganda na Ethiopia katika mechi za kufuzu AFCON U20 ukanda wa CECAFA. Kundi A lina timu nne ambazo ni Sudan, Sudan Kusini, Djibouti na Burundi.