Korogwe yafurika kusikiliza sera za mgombea wa CCM Dk Samia
JamhuriComments Off on Korogwe yafurika kusikiliza sera za mgombea wa CCM Dk Samia
Wananchi wa wilaya ya Korogwe na maeneo mengine ya karibu mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara wakiwa tayari kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt.Samia Sukuhu Hassan ambaye atanadi sera na ahadi za CCM pamoja na kuomba kura, leo tarehe 30 Sepemba 2025. KaziNaUtuTunasongaMbele OktobaTunatiki🇹🇿✅