Na ili kuthibitisha kuwa Ilani yetu (2025/30), sera zetu na ahadi zetu zimegusa matakwa na matarajio ya watanzania, ndiyo maana unaona nyomi kama hizi zimekuwa kila pahala ambapo Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amekuwa akitia nanga katika kujinadi na kuomba kura.

Dkt. Samia amekuwa amefanya kazi kubwa katika kipindi cha miaka 4 tangu ashike kiti cha Urais ambayo imewagusa moja kwa moja wananchi hawa wa Geita na Tanzania kwa ujumla.

𝙉𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙩𝙝𝙞𝙗𝙞𝙩𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙠𝙖𝙯𝙞 𝙮𝙖 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖 𝙖𝙢𝙚𝙬𝙖𝙜𝙪𝙨𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪 𝙬𝙤𝙩𝙚, 𝙟𝙞𝙪𝙡𝙞𝙯𝙚𝙣𝙞 𝙣𝙮𝙞𝙚 𝙢𝙖𝙟𝙞𝙧𝙖𝙣𝙞 𝙯𝙚𝙩𝙪 𝙠𝙬𝙖𝙢𝙗𝙖 𝙢𝙣𝙖𝙩𝙚𝙢𝙗𝙚𝙡𝙚𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙗𝙖𝙧𝙖𝙗𝙖𝙧𝙖 𝙯𝙞𝙡𝙞𝙯𝙤𝙟𝙚𝙣𝙜𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙚𝙧𝙞𝙠𝙖𝙡𝙞 𝙮𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙖 𝙜𝙖𝙣𝙞 ? 𝙒𝙖𝙩𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙩𝙞𝙗𝙞𝙬𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙝𝙤𝙨𝙥𝙞𝙩𝙖𝙡𝙞 𝙯𝙞𝙡𝙞𝙯𝙤𝙟𝙚𝙣𝙜𝙬𝙖 𝙣𝙖 𝙨𝙚𝙧𝙞𝙠𝙖𝙡𝙞 𝙮𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙖 𝙜𝙖𝙣𝙞 ? 𝙎𝙝𝙪𝙡𝙚 ? 𝙈𝙖𝙟𝙞 𝙨𝙖𝙛𝙞 𝙣𝙖 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙖 ? 𝙎𝙖𝙨𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙤 𝙣𝙖𝙙𝙝𝙖𝙣𝙞 𝙩𝙪𝙩𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙩𝙪𝙢𝙚𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖𝙣𝙖 𝙣𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙬𝙖𝙠𝙖𝙧𝙞𝙗𝙞𝙨𝙝𝙖 𝙘𝙝𝙖𝙢𝙖 𝙡𝙖 𝙞𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙞 𝙡𝙖 𝘾𝘾𝙈.

Oktoba 29 nenda kapige kura na mchague Dkt. Samia kwa miaka mitano mengine ya kuinua utu wa kila Mtanzania.