Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa  wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano huo kwenye Kituo cha Kimtaifa cha Mkutano cha Arusha (AICC).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha  (AICC) kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima  wa  Afrika.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kuhutubia Mkutano wa Kimataifa wa  Wakuu wa  Mamlaka  za Bima Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia  Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka  za Bima Afrrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha.  (AICC)