Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia
JamhuriComments Off on Makamu wa Rais afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe. Robert Fico, kando ya Mkutano wa 7 wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), unaofanyika Jijini Luanda nchini Angola.