Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani wa Sensa Isack Mgosho wakati walipokuwa wakihesabiwa katika Makazi yao Chanika Jijini Dar es salaam leo tarehe 23 Agosti 2022 kwenye Shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi