Makamu wa Rais ashiriki kuagwa kwa hayati Cleopa Msuya
JamhuriComments Off on Makamu wa Rais ashiriki kuagwa kwa hayati Cleopa Msuya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakiwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kushiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya. Tarehe 11 Mei 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kushiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya. Tarehe 11 Mei 2025. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei 2025.