Waheshimiwa Mawaziri pamoja na Naibu Mawaziri wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.