Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima Ukanda wa Mashariki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akifuatana na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Abdalla Saqware (kulia) mara alipowasili Hoteli ya Madinat Al Bahr leo kufungua Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki  na Kusini mwa Afrika Nd.Patt Karuihe -Matin (OESAI),(kushoto) na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdalla Saqware,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Saada Mkuya Salum (wa tatu kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,na Bi. Rose Wanda Katibu Mkuu Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki na Kusini mwa Afrika (OESAI) wakisimama wimbo wa Taifa ukipigwa katika ufunguzi wa  Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel leo.[Picha na Ikulu] 29/08/2022
Baadhi ya washiriki wa  Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na washiriki mbali mbali  wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,(hawapo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,alipoufungua rasmi.[Picha na Ikulu]