Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 26, 2024
MCHANGANYIKO
Msafara wa kiongozi ACT Wazalendo Dorothy akiwasili Lindi kufunga kampeni
Jamhuri
Comments Off
on Msafara wa kiongozi ACT Wazalendo Dorothy akiwasili Lindi kufunga kampeni
Msafara wa Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Isihaka Mchinjita wakiwasili mkoa wa Lindi kufunga kampen
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Jimbo la Tunduru Kaskazini Ndugu Mohamed Kapopo ambaye pia Mgombea wa Uemyekiti wa Kitongoji cha Maholela amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi. Polisi walimkamata kwenye zoezi la kula kiapo cha uwakala na hawajakubali kumpa nafasi ya kuapishwa.
Maneno anayotuhumiwa kuwa ni ya uchochezi Ndugu Kapopo ni kuwa mwizi yoyote wa kura atashughulikiwa.
Post Views:
182
Previous Post
Waziri Kabudi azindua siku 16 za uarakati za kupinga ukatili Dar es Salaam
Next Post
RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024
Rais Samia awataka mawaziri kuwatumia ipasavyo makatibu wakuu na wataalamu katika wizara zao
Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar
Mawaziri mbalimbali wakila kiapo kwenye hafla Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
Jukwaa Sekta ya Fedha 2024 lazinduliwa
Netanyahu kutoa ushahidi mahakamani leo kuhusu tuhuma za ufisadi
Habari mpya
Rais Samia awataka mawaziri kuwatumia ipasavyo makatibu wakuu na wataalamu katika wizara zao
Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar
Mawaziri mbalimbali wakila kiapo kwenye hafla Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar
Jukwaa Sekta ya Fedha 2024 lazinduliwa
Netanyahu kutoa ushahidi mahakamani leo kuhusu tuhuma za ufisadi
Benki ya Dunia yapunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi Kenya 2024
Kiongozi wa upinzani wa Uganda Besigye afikishwa mahakamani
Rais Samia awateua Makamishna wa Polisi
DC Mgoni awaasa Watanzania kuendelea kudumisha amani
Mradi wa EACOP kuwawezesha watu wa asili katika kilimo na ufugaji
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 10- 16, 2024
Uwekezaji sekta ya nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga
DC Lushoto aongoza wananchi kufanya usafi maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru
Watoto vitani, kukabili mabadiliko ya tabianchi
Wazazi watakiwa kuwatengenezea Mazingira bora ya elimu watoto wao