JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Palmer achaguliwa mchezaji bora wa mwaka England

Na Isri Mohamed Kiungo wa Chelsea, Cole Palmer amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa kiume wa mwaka 2023/24 wa timu ya England kwa kura za wachezaji. Kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham amekamata nafasi ya pili huku Bukayo Saka wa Arsenal…

Injinia Hersi aalikwa mkutano wa ECA Ugiriki

Na Isri Mohamed RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ni miongoni kati ya wageni waalikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya (ECA). Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, atahudhuria mkutano huo unaofanyika katika mji…

Wanaodaiwa kumuua mkulima Arusha wakamatwa

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuwakamata watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Israel Paulo (36) Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ya Arumeru na Mkoa wa Arusha aliyefariki dunia tarehe 5 mwezi…

Masauni awahimiza Kondoa kujiandikisha daftari la mpigakura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amewahimiza wananchi wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma kujiandikisha kwa wingi katika daftari la mpigakura ili kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara…

Watu 339 wafariki dunia kufuatia mvua kubwa Niger

Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Niger zimesababisha vifo vya watu 339 na kuwaacha zaidi ya watu milioni 1.1 bila makaazi rasmi tangu mwezi Juni. Waziri wa mambo ya ndani mwezi uliopita alifahamisha kuwa takriban watu 273 walipoteza maisha na wengine 700,000…

Tume utumishi wa walimu, mahakama kubadilishana uzoefu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Utumishi wa Walimu na Tume ya Utumishi wa Mahakama zimekubaliana kuwa na ushirikiano wa karibu, kukutana mara kwa mara na kupeana uzoefu kwani zote mbili zinatekeleza majukumu yanayofanana. Katibu wa Tume ya Utumishi…