Mabalozi SADC waunda umoja Qatar
Mabalozi wa nchi za SADC walioko Qatar wameunda umoja unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kimaendeleo na taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati ambalo ni moja kati ya wazalishaji wakubwa wa gesi asilia duniani. Ikiwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Tanzania kupitia Balozi wake nchini Qatar, Fatma…