JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DC Okash aibana TANESCO Bagamoyo, atoa maelekezo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KATIKA kukabiliana na changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara, Serikali Wilayani Bagamoyo, imelielekeza uongozi wa shirika la umeme Tanesco Wilayani humo kuwa na siku moja ya kukata umeme kwa ajili ya matengenezo yasiyo ya…

TRCO yajitosa kumnusuru mnyama kakakuona

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau wa uhifadhi nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa mnyama Kakakuona analindwa na kutunzwa kwani yupo hatarini kutoweka. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Tanzania Research Conservation Organization (TRCO) kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 umesema…

Wananchi wa Kipunguni kulipwa fidia

Na Josephine Majura WF, Dodoma Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma…

Waziri Mkuu azindua Nembo ya Muungano, ataka wapiga kura kujiridhisha na wapenda Muungano

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa amezindua Nembo na Kauli mbiu kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 60 ya muungano huku akiagiza kuelekea uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa mwaka 2024, wapiga…

Dk Biteko ataka Watanzania kumuenzi Sokoine kwa kufanyakazi

📌Hayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi 📌Anakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa. 📌Dkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa…