Latest Posts
Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC
Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….
Congo kuimarisha usalama Goma
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…
UN kujadili hali ilivyo DRC
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema kikao cha pili cha Baraza la Usalama la ()UN kitafanyika kujadili mgogoro unaoendelea katika mkoa wake wa mashariki. Mkutano mpya ulioitishwa na viongozi wa Kongo unafuatia mapigano ya kundi la waasi la M23 huko…
EAC kujadili mgogoro wa DR Congo
RAIS wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kanda ya Afrika Mashariki (EAC) utawajumuisha viongozi kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kujadili hatua za kuchukua katika kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea katika…
Mpaka wa Kongo-Rwanda wafungwa baada ya M23 kuiteka Goma
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo. Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea. Mpaka kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…





