JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Halmashauri Kuu ya CCM Bagamoyo yampa tano Rais Samia kwa ukuaji kimaendeleo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze HALMASHAURI Kuu ya CCM, Wilaya ya Bagamoyo,Mkoani Pwani ,imeelekeza viongozi wa chama kuanzia Matawi hadi kata waongeze nguvu katika kusimamia miradi na utekelezaji wa ilani kwenye maeneo yao. Aidha imewataka wanaCCM kuisemea Serikali kwa makubwa…

Papa aomba kusitishwa kwa vita Gaza na Ukraine

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesikitishwa na hali ya vita inayoikabili dunia kwa sasa na kuitaka jumuiya ya kimataifa kufanya kila liwezekanalo kusitisha vita Gaza na Ukraine. Papa Francis amesema hayo jana katika Jiji la Vatican wakati alipokuwa…

Nchimbi amjulia hali mzee Yusuf Makamba

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amemtembelea kumjulia hali mmoja wa Makatibu Wakuu Wastaafu wa CCM, Mzee Yusuf Makamba, Jumatatu, Aprili 1, 2024, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Akimpongeza kwa kuteuliwa kushika nafasi…

Baada ya ukaguzi Kidatu Dk Biteko atua kituo cha kupoza umeme cha Zuzu Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Baada ya ukaguzi wa matengenezo ya mitambo ya umeme Kidatu mkoani Morogoro leo tarehe 1 Aprili, 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea na kukagua Kituo cha kupoza umeme cha…

Mwalimu,mwanafunzi washambuliwa na kuuawa wakiwa nyumbani kwao Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MWALIMU wa Shule ya Msingi Mbugani Wilayani Chunya aitwaye,Herieth Lupembe (37) na mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela, Ivin Tatizo (15) wameuwawa na vitu butu kichwani wakiwa nyumbani kwao Kijiji cha…