Latest Posts
ACT Wazalendo kujadili jinsi ya kupiga kura kwa nafasi ya rais
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitafanya kikao cha dharura leo usiku, kujadili ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya rais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Hatua hiyo inatokana na maamuzi ya Mahakama Kuu Masjala ya…
William Ruto: Taifa limempoteza mzalendo na mwanamageuzi wa kweli
Rais William Ruto aliongoza taifa kuomboleza, akimtaja Odinga kuwa “mzalendo wa taifa ambaye ujasiri na kujitolea kwake viliunda njia ya Kenya kuelekea demokrasia na umoja. โ Viongozi kutoka barani Afrika akiwemo Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Nana Akufo-Addo wa…
Mapokezi ya mwili Odinga, Polisi wazidiwa nguvu uwanja wa ndege wa JKIA
Wafuasi wa Raila Odinga wamevamia lango kuu la uwanja wa ndege wa JKIA baada ya kuwazidi nguvu polisi waliokuwa wakilinda eneo hilo. Hali ya taharuki imetanda, huku kukiwa na wasiwasi mkubwa juu ya kitakachotokea endapo watapenya na kuingia ndani ya…
Dalili za uwepo wa gesi asilia zaonekana katika kitalu cha Lindi – Mtwara
๐ Utafiti wa kina unaendelea katika Kitalu cha LindiโMtwara ๐ Dkt. Mataragio akagua maendeleo ya mradi, aagiza ukamilike kwa wakati ๐ Akagua pia mradi wa kuongeza uzalishaji wa gesi katika kitalu cha Mnazi Bay ๐ RC Mtwara asema Gesi Asilia…
Wenje :Nimegundua usichokijua ni usiku wa giza
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amesema kuwa katika kipindi chake cha siku tatu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) amebaini mambo mengi kuhusu maendeleo yaliyotekelezwa na Serikali. Amesema kuwa awali alipokuwa nje ya chama hicho,…
WFP: Watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limetahadharisha kuwa takriban watu milioni 14 wako hatarini kukumbwa na njaa kutokana na kupunguzwa kwa ufadhili. WFP imesema watu hao wanapatikana katika mataifa ya Afghanistan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Haiti, Somalia, Sudan…