JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ajali yaua kichanga cha miezi sita, mwanamke mmoja baada ya basi kutumbukia mtoni Kisarawe

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe Mwanamke mmoja (35-40)pamoja na mtoto wa miezi sita wamefariki dunia iliyotokea Daru Mzumbwi Kisarawe ,baada ya basi lenye namba za usajili T 275 DRZ aina ya tata kutumbukia kwenye mto na kusababisha vifo hivyo. Aidha…

Waziri Mkuu apokea mil.10 za maafa Katesh

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya   Maridhiano na Amani Tanzania , Sheikh Dkt.  Alhad Issa Salum  (kulia) na Katibu Mkuu  wa Jumuiya hiyo, Dkt. Mhasa Ole Gabriel kwa ajili…

Chalamila ataka TRA kufanya operesheni maalum ya elimu kwa mlipa kodi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa maagizo hayo leo Desemba 18, 2023 wakati wa mkutano maalum wa kimkakati na watumishi wa TRA katika Ukumbi wa Suma JKT, Mwenge-DSM. RCĀ  Chalamila amesema…

Watu 111 wapoteza maisha, 230 wajeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi China

Watu 111 wamekufa na wengine zaidi ya 230 wamejeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililopiga eneo la kaskazini magharibi mwa China la Gansu-Ginghai usiku wa kuamkia leo. Kituo cha Ulaya cha kufuatilia mitikisiko ya ardhi duniani EMSC kimesema, tetemeko hilo la…

TPA yafungua rasmi ofisi nchini Malawi

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imezindua Rasmi Ofisi yake katika nchi ya Malawi ikiwa ni hatua ya Mamlaka hiyo kusogeza huduma za Bandari karibu na wateja wake wa nchini humo. Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Mhe. Profesa…