Latest Posts
Dereva wa Shabiby akamatwa kusababisha ajali iliyojeruhi 22
POLISI mkoani Morogoro inamshikilia dereva wa basi la Kampuni ya Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU, Said Malugula akituhumiwa kusababisha ajali iliyojeruhi abiria 22, baada ya basi hilo kupinduka eneo la Kihonda kwa Chambo mkoani Morogoro. Kamanda wa…
Swahiba wa Nyerere apongeza uongozi wa Samia akitimiza miaka 99
Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia salam za pongezi kutoka…
Wanne wakamatwa wakisafirisha punda 46 nje ya nchi
Na.Abel Paul,Jeshi la Polisi- Longido Arusha Jeshi la Polisi kikiosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne pamoja na mifugo aina ya…
Serikali imedhamiria kuendelea kutekeleza agenda ya uchumi wa viwanda – Dk Biteko
📌Tanzania na Uganda kuendelea kushirikiana kukuza biashara na diplomasia 📌 Serikali kuhakikisha upatikanaji wa mafuta na gesi kwa bei nafuu na kuongeza ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda 📌Serikali za Tanzania na Uganda zaingia makubaliano kuimarisha sekta ya nishati…
Vipaji vya wanafunzi wa awali Tusiime vyawashangaza wazazi
Na Mwandishi Wetu WAZAZI walioshiriki siku ya taaluma na maonyesho ya shule ya awali Tusiime leo wameshangazwa na vipaji vilivyoonyeshwa na wanafunzi hao kwa kumudu kutengeneza vitu mbalimbali na kumudu kuzungumza kingereza fasaha muda wote. Maonyesho hayo yaliyofanyika leo kwenye…





