Latest Posts
Safari ya kuendeleza vyanzo vipya vya umeme yashika kasi
๐ Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu ๐ Ni wa megawati 150 ๐ TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka ๐Wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN waonywa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo…
Hospitali zote za rufaa za mikoa zitumie mifumo ya TEHAMA
Na. WAF – Mwanza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutumia mifumo ya TEHAMA ili kuboresha utoaji wa huduma za Afya kwa wananchi. Waziri Ummy amesema hayo leo Machi 14, 2024 wakati…
Makinda awataka waandishi wa habari kuyatumia matokeo ya Sensa kusaidia uboreshaji huduma
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, Anne Makinda amewataka waandishi wa habari kutumia matokeo ya sensa kuandika habari zitakazosaidia katika uboreshaji wa huduma mbalimbali za jamii. Amebainisha hayo jijini…
Maambukizi ya Malaria yamepungua kwa asilimia 8.1 Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria nchini kimepungua na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023 kutoka asilimia 15 kwa mwaka 2015. Dkt. Jingu amesema hayo…
Mbaroni kwa kusambaza taarifa za uchochezi kuhusu viongozi wa Serikali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata, linawashikilia na kuwahoji kwa kina watuhumiwa watano (5) kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali ya kimtandao. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi…
Madereva wa mabasi yaendayo mikoani wapata huduma ya upimaji macho
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriaMedia, Mbezi Hii ni wiki ya maadhimisho ya Ugonjwa wa Shinikizo la macho au Presha ya Macho duniani ambapo hospitali ya CCBRT,kwa kushirikiana na hospitali ya Barrack PolisI Kilwa Road na halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, wameadhimisha…