JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JK na Rais Hichilema waendelea na usuluhishi wa mgogoro wa Lesotho

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ameungana na Rais Haikande Hichilema wa Zambia kukutana na Viongozi mbalimbali wa Ufalme wa Lesotho kama sehemu ya mchakato wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa na kiusalama uliopo katika Ufalme wa…

Wauguzi watuhumiwa kuomba rushwa wajawazito

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora Baadhi ya Watumishi wa Idara ya Afya Mkoani Tabora wametuhumiwa kuomba rushwa kwa akinamama wajawazito na kuwatolea lugha zisizo na staha wanapokwenda kujifungua katika vituo vya afya na zahanati. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Taasisi ya…

Vicheko wakazi wa manispaa kigoma-ujiji, Rais Samia kumaliza kero ya maji

Na Allan Vicent, Kigoma Zaidi ya sh bil 9.5 sawa na Euro mil 3.2 zilizotolewa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA) zimewezesha kukamilika kwa mradi mkubwa wa maji wenye uwezo…

DSM mbioni kunufaika na gesi asilia

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 1,2023 amekutana na timu ya wataalam kutoka Wizara ya Nishati ambao waliambatana na Wataalam wa gesi Asilia kutoka JICA ambapo wamefanya…

Kichwa kipya cha treni ya umeme chawasili Tanzania

Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kuwa kichwa kipya cha treni ya umeme chenye namba ya usajili E6800-01 kilichoundwa na kampuni ya ‘Hyundai Rotem Company’ (HRC) kimewasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea…

Waziri Mkuu Majaliwa uso kwa uso na Makonda

Dodoma Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 02, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma.