Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 02, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma.

By Jamhuri