JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Madaktari wa watoto wapewa mafunzo maalum ya kufanya kipimo jinsi moyo unavyofanyakazi

Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Madaktari 22 wanaotoa huduma kwa watoto kutoka Tanzania na nje ya nchi wanashiriki mafunzo maalumu ya awali ya namna ya kufanya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiograph – ECHO) kwa watoto….

Rais wa Ujerumani kukutana na familia za mashujaa wa vita vya Majimaji

Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani Dkt. Frank Walter Steinmeier Novemba 1, 2023 amewasili Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani hapo. Rais Dkt. Steinmeier amepokelewa na Waziri wa…

Watano wafariki, wengine nane waokolewa katika ajali ya boti Mafia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia ,Mafia Watu watano wamefariki dunia huku wengine wawili wakiwa hawajulikani walipo baada ya boti walilokuwa wakisafiria kuzama, katika kingo za mto Rufiji,ikitokea wilaya ya Mafia Mkoani Pwani. Aidha watu wanane katika ajali hiyo wameokolewa wakiwa hai….

Kamati ya Fedha na Utawala yaridhishwa na miradi ya maendeleo Kibaha TC

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Leo Jumatano Novemba 1,2023 Kamati ya Fedha na Utawala imefanya ziara kwenye kata tatu kuona utekelezaji wa Miradi mikubwa ya elimu na afya. Miradi iliyotembelewa ni ijenzi wa shule ya msingi mpya kwenye Kata ya…

Amuua baba yake kwa kumkata na shoka, chanzo ni maji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rukwa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia kijana aitwaye Paschal Msindo (21), mkazi wa Kijiji cha Kalepula Wilaya ya Kalambo kwa tuhuma za kumuua baba yake kwa kumkata shoka shingoni. Akizungumza na waandishi wa habari leo…