JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Majaliwa atembelea shamba la ng’ombe wanaokamuliwa kwa roboti Italia

Na OWM, Milan Italia. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea shamba la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa la Alesandra lilipo Milan nchini Italia, ambalo linaendeshwa kwa kutumia mifumo ya kisasa ya kielektoniki ikiwemo ukamuaji wa maziwa kwa kutumia roboti. Akiwa katika…

Watumishi wa Afya wasimamishwa, wengine 26 kuchunguzwa Tanga.

Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Tanga. Ujumbe wa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu umewasimamisha kazi watumishi watatu kupisha uchunguzi na wengine 26 kutoka idara mbalimbali wakiendelea kufanyiwa uchunguzi kwa kukwamisha utoaji huduma kwa wananchi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa…

Serikali yatoa rai, viongozi Njombe kutunza vyanzo vya maji.

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Njombe. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji ili viwanufaishe na kuhifadhi mazingira. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi akiwa kwenye ziara ya…

Huduma ya kuvunja mawe kwenye figo ilivyowanufaisha 480 Mloganzila.

Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imehudumia zaidi ya wagonjwa 480 waliokuwa na changamoto ya mawe kwenye kwenye figo kwa kutumia mashine maalumu ya kuvunja mawe kwenye figo kwa kutumia mawimbi mtetemo ((Extracorporeal Shock…

CAF wampa zawadi Rais Samia

Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA, Dodoma. Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa zawadi ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe. Rais Samia…

RC Chalamila akutana na wadau wa usafirishaji DSM

Na mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Leo Oktoba 18, 2023 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na wadau wa usafirishaji katika mkutano maalum uliofanyika katika ukumbi wa mikutano Arnatoglo Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam. Chalamila amewashuru…