Latest Posts
Serikali kuwajengea uwezo wakufunzi wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kuwajengea uwezo wakufunzi wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini yake ili waweze kuzalisha wataalamu wenye weledi na sifa stahiki katika kutatua changamoto zilizopo katika jamii. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu…
Serikali yatoa siku 14 kukamatwa na viongozi ambao ni vinara wa utapeli
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SERIKALI mkoani Pwani, imetoa wiki mbili kukamatwa viongozi 24 ambao ni vinara wa utapeli ikiwemo mabalozi, wenyeviti wa Mitaa, watendaji walioshirikiana kuuza maeneo katika shamba namba 34 ambalo ni mali ya Wizara ya Mifugo na…
Mwenyekiti Wazazi CCM Morogoro ataka miradi ya kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya kiuchumi ya Jumuiya. Dk. Rose amesema kila Wilaya ihakikishe inakuwa na nyumba za…
RC Mndeme: Marufuku kuchati mnapowahudumia wananchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya baadhi ya maofisa watendaji wa vijiji, mitaa na kata kuchati na simu wakati wakiwahudumia wananchi katika ofisi zao. Mndeme ametoa tamko hilo juzi wakati…
MSD yafanya maboresho makubwa sekta ya afya Singida, yatoa vifaa tiba, dawa
Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, SingidaBOHARI ya Dawa (MSD) imetoa vifaa tiba na dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 532.4 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Hospitali ya Wilaya ya Singida, Hospitali ya Wilaya ya Iramba, Hosptali…
Zingatieni usalama wa afya ya macho mahala pa kazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waajiri na waajiriwa wametakiwa kuzingatia kuwa mahali pa kazi panakuwa salama kwa afya ya macho wakati wote ili kuleta ufanisi mzuri katika kazi zao. Wito huo umetolewa leo jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Uuguzi na…