JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DRC Congo na Rwanda kumaliza mapigano

Mawaziri wa Mambo ya Nje wa DRC Congo na Rwanda wamekubaliana kuanza mazungumzo ya kurejesha amani Mashariki mwa DRC  Congo. Uamuzi huu umekuja  baada ya kufanyika  kikao maalum huko Luanda nchini Angola kilichohudhuriwa na wawakilishi wa pande hizo mbili Thérèse…

TAKUKURU kuchunguza miradi ya bil 34/ Tanga

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imeanza uchunguzi wa miradi 79 yenye thamani ya sh Bil 34.5 iliyobainika kuwa na mapungufu katika sekta mbalimbali sambamba na uliyokuwa na mapungufu wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024. Afisa…

Serikali yahitimisha kwa mafanikio zoezi la utoaji elimu ya fedha Mtwara

Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara Serikali kupitia Wizara ya Fedha imehitimisha mafunzo ya elimu ya fedha Mkoani Mtwara ikiwa ni  juhudi za kuimarisha uelewa wa masuala ya kifedha miongoni mwa wananchi.  Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Ofisi…

Rais Dk. Mwinyi kushiriki uzinduzi wa SGR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi atashiriki Uzinduzi  wa Usafiri wa Treni ya Umeme kwa kutumia Reli ya Kisasa (SGR). Uzinduzi wa mradi wa SGR utafanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

Serikali kutatua mgogoro wa ardhi ngara

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na Jeshi la Magereza katika kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera. Akizungumza na wananchi wa kata ya Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera baada…