Latest Posts
Naibu Waziri Mkuu Dk Biteko ahimiza kanisa kuliombea Taifa
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inalojukumu la kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika kwa amani na haki. “Wito wangu kwa kanisa ni kuendelea kuliombea Taifa liendelee kuwa…
Majaliwa aisifu SAGCOT kwa kuwa chachu ya maendeleo ya kilimo nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameisifu taasisi inayojihusisha na mpango wa kukuza kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania ( SAGCOT) kwa kuwa mfano wa kuigwa katika maendeleo ya kilimo hapa nchini ambapo kupitia utendaji kazi mzuri…
NHIF yapewa tano utekelezaji Bima ya Afya kwa wote
Na MwandishibWetu, JamhuriMedia, Singida Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umepongezwa kwa kuanza utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ambapo kwa sasa wananchi wanajiunga kupitia vifurushi vya Ngorongoro na Serengeti. Pongezi hizo zimetolewa leo na…
Taasisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation na NEXLAW waungana kuinua wajasiriamali vijana Tanzania
Na Mwandishi Wetu Taasi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) na Kampuni ya wanasheria NEXLAW Advocates ya Dar es Salaam wamesaini rasmi makubaliano ya ushirikiano (MoU) yenye lengo la kuimarisha na kukuza ujasiriamali wa vijana nchini Tanzania kupitia Mpango wa…
Diwani Kisarawe azindua msimu wa nne wa mbio za Jerusalem
Na Lookman Miraji Diwani wa Kata ya Kisarawe 2, iliyoko katika Wilaya ya Kigamboni, Issa Hemed ameuzindua rasmi msimu wa nne wa mbio za hisani zijulikanazo kama Mbio za Jerusalem. Mbio hizo ambazo hufanyika kila mwaka chini ya uratibu wa…
Trump ‘anafikiri’ Zelensky yuko tayari kuikabidhi Crimea kwa Urusi
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anafikiri kuwa mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko tayari kuliacha eneo la Crimea kwa Urusi kama sehemu ya makubaliano ya amani – licha ya hapo awali Kyiv kukataa pendekezo lolote kama hilo. Alipoulizwa iwapo…