JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DC Rufiji : TEMESA ifanyekazi kwa uaminifu na ufanisi kuondoa malalamiko

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali Mkoani Pwani ,imeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA ) kufanya majukumu yake kwa uaminifu na kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali ili kuondoa malalamiko kwa wateja . Akimwakilisha mkuu wa Mkoa wa Pwani,…

Zaidi ya bilioni 1.2/- kukamilisha majengo ya elimu Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya Shilingi 1,261,950,000.00 zinatarajia kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa 22,Ofisi 1 ya walimu,mabweni 3 na nyumba 4 za walimu zenye uwezo wa kuweka familia 8 zinazoendelea kujengwa kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha ili…

Kapinga: Desemba 2023 vijiji vyote 758 Mtwara vitakuwa na umeme

Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema hadi kufikia Desemba 2023 vijiji vyote 758 mkoani Mtwara vitakuwa vimepata umeme. Akizungumza mkoani Mtwara, tarehe 21 Septemba, 2023, Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema katika vijiji hivyo vingi vilikuwa havina umeme, hivyo watapeleka…

Njooni muwekeze Tanzania Kisiwa cha amani – Othman

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imetoa wito kwa washiriki wa Kongamano la Nishati wakiwemo Mawaziri, Watunga Sera, Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma na Binafsi, Wafanyabiashara na Viongozi mbalimbali wa Makampuni kutoka ndani na Nje ya Tanzania walioshiriki Kongamano la…

RC Chalamila afanya ziara ya kukagua ufanisi wa uzalishaji maji DAWASA

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 21, 2023 amefanya ziara ya kukagua ufanisi wa uzalishaji wa maji Wilaya ya Ubungo na Kinondoni jukumu ambalo linatekelezwa na Mamlaka ya Maji Safi na…

TANESCO watakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa miundombinu ya umeme mji wa Serikali Mtumba Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Umeme Nchini TANESCO limetakiwa kukamilisha kwa wakati mradi wa ujenzi wa Miundombinu ya umeme wa chini unaoendelea katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Hayo yamesemwa leo Tarehe 21 Septemba 2023, na Katibu…