Latest Posts
Akili Platfom Tanzania yafungua mwaka kwa kupanda miti 100 kituo cha wazee Ipuli
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Uongozi wa Shirika la Akili platfom Tanzania kwa kushirikiana na vijana kutoka vyuoni wamefika katika kituo cha wazee Ipuli kwa jina lilizoeleka Kijiji cha Amani mkoani Tabora kwa zoezi la kutenda Zoezi hilo limefanyika Januari…
Dk Biteko : Jumuiya ya wazazi tumieni rasilimali zilizopo kujenga na kueneza mafanikio ya CCM
📌Akabidhi pikipiki na kofia ngumu Jumuiya ya Wazazi (CCM) Zanzibar 📌Awataka kutumia pikipiki hizo kuieneza CCM 📌Azuru Kaburi la Hayati Abeid Amani Karume Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, .Dkt. Doto Biteko ameitaka Jumuiya…
Pinda akagua eneo watakaohamishiwa waathirika wa mafuriko Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ametembelea na kukagua eneo limepimwa viwanja kwa ajili ya kuhamisha waathirika wa Mafuriko yaliyotokana na maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanang. Pinda…
Watanzania kupewa kipaumbele huduma migodini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Madini, Sura ya 123, serikali kupitia Tume ya Madini itaendelea kusimamia ununuzi wa bidhaa na huduma kwa kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa Watanzania. Kauli hiyo…
Rais Dk Mwinyi ashuhudia karafuu za magendo bandarini Wete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Bandari ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ziara ya kushtukiza na kushuhudia karafuu za magendo tani 9.5 zenye thamani ya shilingi milioni 140 zilizotaka kusafirishwa kwa…