JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dotto Biteko: Watanzania wanataka umeme wa uhakika

Na Magrethy Katengu Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko aliagiza Shirika la Umeme Tanesco kuhakikisha Watanzania wote wanafikiwa na huduma ya Umeme kuanzia Mijini hadi vijijini ili kusaidia shughuli za kiuchumi kuendelea ….

Jafo: Wananchi waache kununua majokofu, viyoyozi mtumba

Serikali imewataka wananchi kuepuka kuingiza nchini na kutumia majokofu au viyoyozi vilivyokiwshatumika (mtumba) ambavyo vinatumia gesi haribifu kwa tabaka la ozoni na badala yake watumie bidhaa zenye uwezo mdogo wa kuchangia ongezeko la joto duniani. Waziri wa Nchi Ofisi Ya…

Tanzania kushirikiana na Morocco katika michezo

Na Eleuteri Mangi Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Morocco katika Sekta ya Michezo. Kikao hicho kimefanyika…

Naibu Waziri Mkuu asisitiza umuhimu wa ufuatiliaji na tathmini Serikalini

Na Mwandishi Wetu , JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kama Serikali haitafanya Tathmini ya Shughuli zake haitakuwa na uwezo wa kujipima na vihatarishi vya utekelezaji wa mipango yake.  Naibu Waziri Mkuu Dkt….

TRA Pwani yazindua kampeni maalumu ya tuwajibike

  Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani katika kupambana na kudhibiti mianya ya ulipaji wa kodi imezindua kampeni maalumu yenye lengo la kutoa elimu kwa wafanyabiashara juu kutumia mashine za kielekroniki (EFD) pindi wanapouza bidhaa zao. Hayo yamebainishwa…

Mji maarufu kwa vito Thailand waiomba Tanzania kuufungulia milango

Wafanyabiashara wa Tanzania wakaribishwa kushiriki Maonesho Oktoba Chanthaburi-Thailand Serikali katika mji mkongwe na maarufu kwenye shughuli na Biashara ya Madini ya Vito wa Chanthaburi nchini Thailand umeiomba Tanzania kuufungulia milango na kuimarisha ushirikiano kwenye uendelezaji wa Sekta Ndogo ya Madini…