JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CWT hali tete, Kamati ya Tendaji yamtaka Katibu Mkuu kutojihusisha na shughuli za chama

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Kamati ya utendaji ya Chama cha Walimu Tanzania CWT)Taifa,imeazimia kwa pamoja kuweka zuio kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Japhet Maganga kuendesha shughuli zozote za Chama hicho hasa katika masuala ya fedha na utawala. Hatua…

Bajeti ya Wizzra ya Maliasili na Utalii yapitishwa

Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii imepitishwa hivi leo bungeni ikiwa na mikakati madhubuti ya kuendeleza, kuimarisha shughuli za Uhifadhi na Utalii. Akijibu hoja za Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii,Mohamed Mchengerwa (MB) alisema “Niwahakikishie wabunge…

Tunduru yaanza msako wagonjwa wa kifua kikuu waliokatisha dozi

Hospitali ya Wilaya Tunduru mkoani Ruvuma kupitia kitengo cha kifua kikuu na ukoma,imeanza msako wa kuwatafuta watu wote waliobainika kuwa na maambukizi ya ugonjwa kifua kikuu ambao wameacha kuendelea na matibabu na hawajulikani walipo. Msako huo unawahusisha wataalam wa kitengo…

Rais Samia awataka Yanga waboreshe maslahi ya wachezaji, wamalize mzozo wa Fei Toto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wadhamini wa Young Africans SC kuwaboreshea wachezaji maslahi yao sanjari na kuwakumbusha kukaa meza moja kufanya mazungumzo na Kiungo Feisal Salum (Feitoto). Rais Samia amesema hayo…