JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Chana: Kiswahili ni bidhaa inayoitangazaTanzania

Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo chini ya Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mussa Sima amepongeza Mkakati uliopo wa Kutangaza na kubidhaisha lugha ya Kiswahili Kimataifa. Akiwasilisha mkakati huo wa kutangaza Kiswahili Kimataifa kwenye kamati hiyo leo Agosti…

Tanzania, Cuba kuimarisha misingi ya kisiasa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

TMA: Ni muhimu wakulima wakapata taarifa sahihi msimu wa mvua za Vuli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaha Msimu unaokuja wa mvua za Vuli Oktoba hadi Desemba ni miongoni mwa misimu muhimu ya kilimo katika baadhi ya maeneo hapa nchini, hivyo ni muhimu kwa wananchi na watumiaji kupata taarifa sahihi na kwa wakati…

Mwongozo kusimamia utaratibu upimaji shirikishi Dodoma waja

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ipo katika hatua ya kukamilisha maandalizi ya Mwongozo wa kuratibu na kusimamia upangaji na upimaji shirikishi katika jiji la Dodoma utakaoweka utaratibu unaopaswa kuzingatiwa katika utekelezaji zoezi…