JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

TanTrade yajadili Matokeo ya Utafiti wa Hali ya Biashara Nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKURUGENZI wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade ), Latifa Khamis ameongoza zoezi la upokeaji na majadiliano ya matokeo utafiti wa awali wa hali ya biashara nchini. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika…

Pinda :Busara itumike kushughulikia changamoto za ardhi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Geophrey Pinda amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kutumia busara wakati wote wa kushughulikia changamoto za sekta ya ardhi. Pinda ametoa kauli hiyo leo…

Watakiwa kuunga mkono juhudi za Rais Samia kwa vitendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Kuekelea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni, Wananchi Wilayani Same Mkoni Kilimanjaro wametakiwa kuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo kwenye maboksi ya kura pamoja na…

Yanga Vs Ihefu, mechi ya kisasi leo

Na Isri Mohamed Klabu ya wananchi Yanga leo jioni inatarajia kushuka dimbani dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, saa 1 jioni. Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na mioyo ya kisasi kufuatia matokeo ya mchezo…

Meneja RUWASA atoa siku saba kuundwa kamati ya kutatua kero ya maji Singa

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kilimanjaro Maneja wa RUWASA wilayani Moshi, Mussa Msangi, ametoa agizo la kuuundwa kwa kamati mpya ya maji ndani ya siku saba katika Kijiji cha Singa kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu maji. Meneja Msangi ametoa agizo…