Latest Posts
Chongolo ‘ aweka mguu chini’ kuukwamua mradi wa umwagiliaji uliokwama miaka 16 Katavi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo leo Ijumaa Oktoba 6, 2023 amekagua Skimu ya Umwagiliaji ya Ugalla katika Kijiji cha Katambike, wilayani Mpanda, ili kuuwekea mpango wa kuukwamua, baada ya mradi huo…
NSSF wakabidhi msaada wa mashuka Hospitali ya Mkoa Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, Jamhurimedia, Songea MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Ruvuma, umekabidhi mashuka katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma (HOMSO) yenye thamani ya zaidi ya sh.milioni 1.5 ili kuwasaidia Watanzania na wadau wa mfuko huo…
Mipango ya kupima viwanja iendane na miundombinu – Waziri Silaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amewaelekeza wataalamu wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha mipango yote ya kupima viwanja inaendane na miundombinu ya maeneo husika. Silaa ametoa maagizo hayo Oktoba 6,…
Kampuni binafsi za upimaji ardhi kikaangoni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kampuni zote zilizopewa kazi za upimaji wa viwanja kwenye Jiji la Dodoma na zimeshindwa kukamilisha kazi hiyo, ziwe zilikuwa na mikataba ama hazikuwa na mikataba zichukuliwe hatua kali za kisheria kutokana na…
Dar kuwa na siku maalumu ya kuthamini kazi ya mwalimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Okyoba 5, 2023 ametangaza rasmi kuwepo kwa siku maalum ya kuthÄ«amini mchango wa kazi ya Mwalimu katika Mkoa huo. RC Chalamila amesema hayo wakati akihutubia mamia…
Serikali yawataka wawekezaji kuhodhi maeneo yaliyotengwa kwa uwekezaji Pwani
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI mkoani Pwani, imeagiza wawekezaji wanaohitaji kuwekeza mkoani humo wahakikishe wanahodhi maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji pamoja na kongani ,ili kuepuka kufanyiwa utapeli na kununua maeneo yaliyo kwenye migogoro ya ardhi. Aidha halmashauri za…