REKODI YA YANGA SC TANGU AONDOKE LWANDAMINA

Hapa nimekuwekea michezo na Matokeo yote waliyoyapa yanga baada ya Kuondoka kocha wao  Lwandamina   Aprili 11, 2018; Yanga 1-1 Singida United (Ligi Kuu Dar es Salaam) Aprili 18, 2018; Welayta Dicha 1-0 Yanga SC (Kombe la Shirikisho) Aprili 22, 2018; Mbeya City 1-1 Yanga SC (Ligi Kuu Mbeya) Aprili 29, 2018; Simba 1 –…

Read More

BODI YA MIKOPO YASITISHA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha mpango wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wanaosoma stashahada (diploma) kuanzia mwaka wa masomo 2018/2019 kama ilivyokuwa imetangaza Mei 10 mwaka huu. HESLB ilitoa mwongozo unaosimamia utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019 ambao ulieleza kuwa ingeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa…

Read More