Latest Posts
Waajiriwa wapya NIRC wasema wana deni kwa Rais Samia, Tume yawataka kuchapa kazi
📍 NIRC – Dodoma WATUMISHI wapya wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, (NIRC), wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaamini na kuwapa nafasi nyingi vijana katika ajira za hivi karibuni. Pia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imewataka waajiriwa…
CAG afurahishwa na makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Geopark
Na Mwandishi Wetu, Karatu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, amefanya ziara maalum kwenye jengo la Makumbusho ya Ngorongoro Lengai UNESCO Global Geopark pamoja na kupanda mti wa kumbukumbu kwenye eneo la makumbusho hayo. CAG Kichere…
Pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea ubunge ACT-Wazalendo latupwa
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kupitia Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Meatu imetupilia mbali pingamizi dhidi ya mgombea ubunge wa ACT-Wazalendo, Bi. Rosemary Kasimbi Kirigini. Pingamizi hilo liliwasilishwa na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi CCM,…
NIRC yakamilisha uchimbaji visima mashamba ya BBT Ndogoye na Chinangali
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekamilisha zoezi la uchimbaji wa visima katika shamba la Ndogowe na Chinangali lililoko chini ya Mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT), kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha Umwagiliaji. Akizungumza Kaimu…
Waziri Mkuu : Rais Samia ameiheshimisha Tanzania matumizi ya nishati safi ya kupikia
📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini 📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia Ataja faida za kutumia Nishati Safi ya Kupikia Asema Serikali itaendelea kuwezesha…
Vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 vyapatiwa huduma ya umeme Kilimanjaro
📌Vijiji vyote 519 vimepata huduma ya umeme Kilimanjaro 📌Bilioni 32.7 yawezesha utekelezaji miradi ya REA Kilimanjaro 📍Kilimanjaro Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia…