JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mume amuunguza mke na maji ya moto,kisa kuchelewa kuwasha moto

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Abubakari Kunenge amekemea vikali vitendo vya ukatili vinavyoendelea kushamiri ndani ya mkoa huo baada ya Neema John , kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Tumbi baada ya kufanyiwa ukatili na mumewe…

Kampeni ya ‘NMB Mastabata kotekote’ yafikia ukingoni

Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya NMB mastercard na QR Code ‘Lipa Mkononi’ iitwayo NMB MastaBata ‘Kote Kote’, imefikia ukomo kwa wateja 7 na wenza wao kujishindia safari ya Dubai kwa siku nne inayogharamiwa kila kitu na Benki ya NMB. Kampeni…

Watu waliokufa kwa tetemeko Uturuki na Syria yafikia 9,000, mbwa wapelekwa

Vikosi vya uokozi nchini Uturuki na Syria wanaendelea kufanya kazi usiku na mchana na kuiondoa miili zaidi kutoka kwenye vifusi vya maelfu ya majengo yaliyoporomoka kutokana na tetemeko kubwa la ardhi. Idadi ya vifo imepanda leo na mpaka sasa inakaribia…

Mtwara wafurahia kunufaika na mradi wa kupaza sauti za baioanwai ya WWF

Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Mtwara Wananchi na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wamefurahia elimu ya kupaza sauti juu ya baioanwai ya Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF) kuwanufaisha kimaisha kwa kubadili mitanzamo yao Jamhuri imeelezwa. Mmoja wa wananchi…

Utafiti: Vifo vya watoto chini ya miaka mitano vyapungua

Na WAF – Dodoma Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye…