Rais Samia ahutubia mkutano wa mawaziri wa Sheria wa nchi wanachama Jumuiya ya Madola Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Patricia Scotland wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati wa wimbo wa Taifa kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wengine wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.
 Baadhi ya wageni waalikwa kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Madola wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar tarehe 04 Machi, 2024.