Latest Posts
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kanali Mstaafu Kembo Mohadi awasili nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mheshimiwa Kanali Mstaafu Kembo Campbell Mohadi amewasili nchini Agosti 30. 2025 kwa ziara ya kazi ya siku mbili hadi Agosti 31 2025 kwa mwaliko wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
Ziana Mlawa :SHIMIWI ni mahala pa kazi
📌 Asema Wizara ya Nishati ipambane irudi na ushindi 📌 Asema Wizara ya Nishati iwe mfano kwa Wizara zingine Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Bi. Ziana Mlawa leo amesema kushiriki michezo mbali mbali inasaidia katika kujenga…
Mgombea urais kupitia CCM akiwa katika mkutano wa hadhara Kilosa
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu na Wananchi wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro waliofurika katika Uwanja wa Kilosa Mjini…
NACTVET yatoa ithibati kwa program tano za CBE
Na Mwandishi Wetu BARAZA la Taifa la Elimu na Ufundi Stadi (NACTVET), limezipatia Ithibati Program mpya tano za Chuo cha Elimu ya Biashara CBE kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Bodi ya Uongozi…
Serikali yaimarisha miundombinu ya CNG harakati za kuleta mapinduzi ya nishati
📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi cha CNG Jijini Dar es…
Mgombea ubunge Jimbo la Mtumba kwa tiketi ya AAFP aipongeza INEC
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Wakulima (AAFP), Mark Isdory Mhemela ameipongeza Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) kwa kusimamia vizuri zoezi la uteuzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Urais,Ubunge na Udiwani. Akizungumza kwa njia…